Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Na alipogeuza maji kuwa mvinyo, mvinyo huo uligongwa na ukaisha wooooteeeee, lakini alipofanya muujiza wa samaki na mikate, vilibaki kibao..!!!Wanywa soda mna roho mbaya sana ndio maana hata Yesu hakufanya muujiza wa kugeuza maji kuwa soda bali aligeuza kuwa mvinyo 😏😏