mkuu umemsikia alivyosema,
"vilivyobakizwa nakala zipo vatcan kavunje uchukue"
ndio maana niligusia vatcan kipindi fulani.
hii tu inathibitisha kuwa vipo vitabu vilivyoachwa kwa sababu ya walioviacha zaweza kuwa nzuri au mbaya kwangu mimi naona kitendo cha kuacha hakikua kizuri.
ulisema najiuliza maswali ambayo hayapo na kuwa hakuna kitabu kama cha mary magdalena kama kingekuwa tungeshakiona.
sasa unamsikia ndugu tedo anasema kavunje vatcan?
vitabu vipo na viliachwa makusudi. wao wanadai kwa maslai ya kanisa na imani.
mimi naendelea kusema ni kwa maslai yao binafsi wala sio kanisa.
Sio kweli kuwa wanaamua mambo mengi ya Ukristosasa mkuu unakuja katika pointi zangu, kama kanisa katoliki huliamini na kumbuka kanisa hilo linaongoza mamilioni ya wakristo na kuamua mambo mengi sana ya ukristo
Hata wewe unaweza kudai kuwa unaandika haya kwa uongozi wa munguna huku wakidai wanaongozwa na mungu,
Sijui unamaanisha nini hapaunapingaje madai yangu kuwa mazao ya kanisa katika ukristo yanakasoro wakati mwingine????????????
Mh!na kutokuamini hukuhuku ndiko kunakonilazimisha na mimi nisiamini waliochagua vitabu vipi viingie katika biblia hawakuwa wamefanya hivyo kwa nguvu za mungu bali mapenzi yao wenyewe na sababu zao wenyewe.
Sio kwamba naona sio vya muhimu tu bali hivi vitabu kama vipo vimeandikwa na wapinzani wa Mungu ili kuwachanganya watu kama nyieumekosa tofauti yangu mimi na wewe ni kuwa wewe unaona vitabu vilivyoachwa kuingizwa katika biblia si vya muhimu ama havipo. na kwamba biblia ni timilifu.
Hapa unatumia tafsiri gani ya Imani?mimi kama ulivyo wewe naiamnii biblia kwa maana yale yaliyoandikwa kwa vitabu vilivyopo sasa vinatosha kunipa elimu fulani.
Nimeshakuambia kuwa unafall kwenye trap ya waislam ya madai yao kuhusiana na hili,kwa wewe tu kudai imechakachuliwa umekosa sifa ya kuitumia vyovyote vile kwani nitakuambia ni kwanini unamuamini Mungu ambae ameshindwa hata kulinda neno lake mwenyewe?BUT siamini kuwa haijachakachuliwa, na kumbuka ni imani tu ndiyo inayonifanya niimani biblia.
mimi nikikuwa nakuuliza maswali yale si kwamba siamini biblia au mungu, rejea post zangu zote utaona, ila nilipishana na wewe uliposema kuwa yale yaliyochaguliwa kuwa katika biblia ndio matakatifu na mungu kawaongoza waliochagua na yale yalioachwa si matakatifu ndio maana hayapo tena na kwamba mungu neno lake halipotei.
Dada,unajichanganya vibaya sanahapa tu ndipo mimi na wewe tunapopishana hadi sasa mkuu.
msingi wa maswali yangu ni kuwa una uthibitisho gani kuwa haya yaliyo katika biblia yetu ya sasa ni matakatifu na yaliyoachwa si matakatifu?
Kwanini asiiondoe aishie kuchakachua?mchezo wa binadamu ni mchafu akiwa na nia chafu ili hali ipo katika uwezo wake kwa nini ashindwe
What make you believe this?naamini yaliyo katika biblia na naamini pengine yaliyoachwa kuwa pia ni mazuri kuachwa kwake kuingizwa katika mjumuiko wa biblia ndio tatizo kwangu.
Dada umenishangaza sanamkuu
ninaisoma biblia kwa sababu ina mambo yanayumzungumzia mungu.
biblia ninayoisoma ni ile inayoitwa biblia takatibu yenye agano la kale na jipya.
hakuna sehemu mungu alipotajwa jina lake ambalo labda mimi na wewe tunayajua kuwa ni majina ya watu. amekuwa akiitwa kwa majumuisho tu mungu wa baba zenu, mungu wa isaya, mungu wa jakobo na kuendelea.
Majina tunayoyajua ni nini?kwa maana ya majina haya tunayoyajua.
Kwanini usiulize tangu mwanzo kama ulikuwa hujui?mungu hana jina watu wamekuwa wakimuita kwa majina mbalimbali wengine bwana, wengine baba, na mengine mengi ikiwa kuna jina la mungu naomba nijulishe n ami nitakuwa nimejifunza kitu.
Dada hebu achana na mazoea ya kuona majina kama ya Juma,Anet,Justine n.k na kuamini hayo na ya mtindo huo ndio majina tu na mengine sio majinakutoka sura 3 mstari wa 14-15 musa alitumwa kwenda kuwaambia watu kitu, akamuuliza mungu watu hao wataniuliza ni mungu gani huyo anaitwa nani, mungu akamjibu musa akamwambia kawaambie MIMI NIKO AMBAYE NIKO amenituma kwenu.
Ki ukweli nimejisikia vibaya sana kwa swali lako hili!sasa mimi niko ni jina?
Bila samahani!
Mimi ni mkristo lakini sina dhehebu!
Ok sasa kama ni mkristo ila huna dhehebu ..... inamaana unaamini biblia bila shaka.....sasa hujui kuwa biblia ilitengenezwa na hao wa roma na ndo kanisa la kwanza sasa iweje usiwaamini roma wakati unaamini biblia waliyo tengeneza
mkuu huyo mwandishi DAN BROWN aliandika vitabu vyake vyote baada ya miaka mingi sana kupita tangu kufa kwa Leonardo Davinci ,kutokana na michoro ya davinc..hakuibua yeye taarifa hizo.....Leonardo alizikuta taarifa hizo......, usimuhukumu mwandishi...tuambie uzushi huo ulianza lini na kwa nini.....kwa nini wanatheologia wanawashambulia sana watu wanaoleta taarifa hizo..kwa nini wengine waliuwawa, kwa nini waliokuwa wanahoji kuhusu bible na ukristu kwa ujumla waliishi kwa tabu sana zama hizo?.........mkuu usichezeshe Lugha......tunajua fiction ni kitu cha Kubuni....lakini hii kitu ni Fact though is highly probable
kwikwiiiiikwiii
inawezekana kabisa mkuu, ila upo pia uwezekano kuwa ndiyo huyohuyo wa kwetu afrika na ndiyo huyo wa isaya na yakobo ila namna tu alivyokuwa akiitwa na kufikiwa, sisi tuliamini mito mikubwa ni mungu,milima mawe na vinginevyo pengine ni namna tu ya kumwita na kumuabudu.
Isaya 53 : 5-12
53.5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
53.6 Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
53.7 Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.
53.8 Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
53.9 Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake.
53.10 Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake;
53.11 Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki Atawafanya wengi kuwa wenye haki; Naye atayachukua maovu yao.
53.12 Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.
Acha kurukia mambo
Soma post zangu zingine!
wewe ni mmoja wa watoaji mapepo kwa kulitumia jina la yesu ???
[/B]
..........ile aya katika Biblia inayosema kuwa 'kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe' ina maana gani ??:A S-confused1:
ikiwa Bwana Yesu amebeba dhambi za watu wake, huwa Kanisani mnatubu dhambi zipi ambazo Yesu hakuzibeba !???:shocked:
Ok sasa kama ni mkristo ila huna dhehebu ..... inamaana unaamini biblia bila shaka.....sasa hujui kuwa biblia ilitengenezwa na hao wa roma na ndo kanisa la kwanza sasa iweje usiwaamini roma wakati unaamini biblia waliyo tengeneza
[/B]
..........ile aya katika Biblia inayosema kuwa 'kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe' ina maana gani ??:A S-confused1:
ikiwa Bwana Yesu amebeba dhambi za watu wake, huwa Kanisani mnatubu dhambi zipi ambazo Yesu hakuzibeba !???:shocked: