Ogopa matapeli 😀Dah! Ww hata ka-wine hutumii?.
Hata bia hizi za kike?
Mambo mende, unaonaje tukatoka out?Ila usiende ukiwa umeshiba sana, utasinzia
Saivi ni mida ya kwenda kunywa bia na kidar pembeni.
Hivi unaenda mwenyewe ama kuna mtu anakpa kampani.
Yaani tushalewa wendiounauliza..😜
😀😀 nje naona kuna jua kali sanaaaMambo mende, unaonaje tukatoka out?
Niko maeneo ya unga Limited Arusha 😎
Ah bc Tulale tuu😀😀 nje naona kuna jua kali sanaaa
Ningekua na hela nilitaman niende beach na Chizi Maarifa nione Makebo yake makubwa ndani ya swimming suit