Leo unakula msosi gani mchana?

Mi naogopa kutaja! BT anaweza kuniroga!
Na hivi leo mwenyewe kajinadi kua zamani alikua mama la kamati ! Mimi gopa yeye!

hahahaha usiogope, si nilikwambia nimestaafu, siku hizi naroga bot tu hela zao ziingie kwenye akaunti yangu......
 
cha jioni sijajua naomba m Pm Amyner akwambie kaniandalia nini
 
Last edited by a moderator:
nikaribie wapi sasa? heri nikatafute kitafunwa....
saaa hizi wapi nitapata ugali?
maani nikishakula mida hii ndo ishatoka hiyo...
Ukila saa ikifika saa sita tu njaa kali siunajua nafidia nguvu za Usiku
Lol kama huwa unategea lazma uamke na umeshiba ila kwa wanaojituma wanaamka na bonge la njaa
 
hao ndo wale wazee, nyumbani wanakula ugali na mchicha, yeye anapita baa kula nyamachoma na ndizi...... kweli uzazi ni wito...



Baba yako Mtambuzi anakula na mama zenu wadogo
hapa hotelini kwangu watoto wanapiga dash,
huyu mzee sijui hata nimfanyeje jamani lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom