Leo unakula msosi gani mchana?

wali maini na parachichi aka avocado bila kusahau mboga mboga, hapa kabichi inahusika xana!!!!!!!!!!!!
 
OOOh wakuuu kwa hali hii ya jk nimesahau kabisaaaa kama kuna kula mchana,asubuhi hatunywi,mchana hatuli mpaka usikuuu ugali huuuooo na maharage
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…