Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,927
- 20,931
- Thread starter
- #81
haha me sina baya ningekuwa tajiri ningejiita Tajiri Sinabay ayupo mkoani namtunzia jirani wewe siyo mtu mzuri kumbe
haha me sina baya ningekuwa tajiri ningejiita Tajiri Sinabay ayupo mkoani namtunzia jirani wewe siyo mtu mzuri kumbe
Nilipitaga pale airport yao aisee...kila dury free shop ukiingia unasema mbona huyu mzuri kuliko yule wa suka nililotoka 🤣🤣🤣🤣🤣Ya kwenda Ethiopia kumchukua mchumba wangu abeba
Hebu fafanua vizur hapo kwenye .maumbile🤣🤣🤣Mimi na maumbile yangu tutakusaidia, right?
Naomba Binti Sayuni03 akufafanulie kwa kina maana nina kigugumizi.Hebu fafanua vizur hapo kwenye .maumbile🤣🤣🤣
Unazungumzia umbile lipi hilo
Lakin hakuna sehemu nimeandika ninahamu na umbile la mtu yoyote
hahaha noma sanaNaomba Binti Sayuni03 akufafanulie kwa kina maana nina kigugumizi.
Yaan akufafanue wew naNaomba Binti Sayuni03 akufafanulie kwa kina maana nina kigugumizi.
Akhuuuu😁😁😁 mie sijui jamaniNaomba Binti Sayuni03 akufafanulie kwa kina maana nina kigkigugumizi
Very right, she can go on.Yaan akufafanue wew na
maumbile yako maana yake anakujua nje ndani🤣🤣🤣😅😅😅😅
Au sijaelewa
Muongo huyu simjui, kwanza mimi mgeni😁😁Yaan akufafanue wew na
maumbile yako maana yake anakujua nje ndani🤣🤣🤣😅😅😅😅
Au sijaelewa
Hii ni kumaanisha nini tena jamaAkhuuuu😁😁😁 mie sijui jamani
Vincenzo Jr ameoa huyo anatoka home uji wote umemalizwa 🙄
Kumaanisha unanisingiziaHii ni kumaanisha nini tena jama
Hiyo nimoja ya mbinu ya ku jaribu kama mitambo inaingilika🤣🤣🤣Muongo huyu simjui, kwanza mimi mgeni😁😁