makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,133
😂 Mimi Sina Mkuu😀
una hamu ya nini mkuu?
😂 Mimi Sina Mkuu😀
una hamu ya nini mkuu?
Dah!! Unaujasiri sana wewe mtoto...Nina hamu nawe,utanipa? Maana tayari ni Eid bhana,uchoyo acha🙄
haha To yeye bhana njoo leo tujichukulie sheria mkononi kisha yafuate mengine 😀Vincenzo Jr ameoa huyo anatoka home uji wote umemalizwa
😋🤭Dah!! Unaujasiri sana wewe mtoto...
Yeah!! Sema utakacho...
Mitambo ya nani tena?Hiyo nimoja ya mbinu ya ku jaribu kama mitambo inaingilika🤣🤣🤣
🤣Hukuona mwishoni pale,nilisema nimeachahaha To yeye bhana njoo leo tujichukulie sheria mkononi kisha yafuate mengine 😀
Pokea video call...
Ila watu wa humu huwa hamsahau😁😁😁Hivi Mshangazi dot com hajarudi kazi kwake tu.
Au bado anafanya kumbukizi ya kifo cha yule lecture mtu mzima alikuwa na miguvu ya kiume isiyo mfano.
Enzi za uhai wake alimfanya kitu mbaya!!
🤣🤣🤣Video call no,nitapiga msasa...nami nimeokoka sasaPokea video call...
Mitambo ya nani tena?
Kuwa na mengi mazuriKwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Onho, usifanye kosa...wanafufua thread... inabidi kuwa makini na maudhui unayoleta humuIla watu wa humu huwa hamsahau😁😁😁
Naona mada yako waliikimbiza Jana🥴Kuwa na mengi mazuri
Mimi sijali wala nini watajiju maana hakuna anayenifahamu nipo kurefresh tu hukuOnho, usifanye kosa...wanafufua thread... inabidi kuwa makini na maudhui unayoleta humu
Yeah,kubust muhimu 😋wanasema nani haachi asili 🙂
Hebe mweleze mwenzako mambo yangu.Mitambo ya nani tena?