Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,865
- 103,908
Haya mambo yanasikitisha sana 😭leo nimesikitika kwa niaba yako dah!
😀
Haya mambo yanasikitisha sana 😭leo nimesikitika kwa niaba yako dah!
😀
Daah...🤣🤣🤣Asante kwa kunikumbusha nilikuwa naelekea kutaja jina langu ila nitalitaja usihofu😁😁😁Hahaha ukilewa usichat mkuu
haha iwe inaruhusiwa mkuu maana baninyo lipo nje nje mamodinyo hawana masihara mkuuNikuletee mkuu picha ninavyotaka wawe
As always, mvua 💦💦💦💦💦Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?
Leo tupumzishe kumuongelea marehemu 😂😂🤣🤣🤣haha ngoja nikae kimya nasikia lecturer alikushenyeta huna hamu
Kwema, salamu zisiwe nyingi.
Twende kazi una hamu ya kitu gani leo?