Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,163
- 184,898
Maandazi na bia tano utatapika nyongo...Ntakupigiaaa nipo naandaa mandazi ya Eid
Maandazi na bia tano utatapika nyongo...Ntakupigiaaa nipo naandaa mandazi ya Eid
Kwani mungu aliposema "na tufanye mtu kwa mfano wetu alikuwa na nani?"Wew na nani
Shindwa shetani in the mighty name of Jesus😁😁😁
Mnaenda wapi jamaniLeo nina hamu ya kutoka usiku huu
Tunasubiri saa sita usiku hivi tunatoka
Ndo nataka nichukue pension yangu, niwaachie wengine kazi.mamaa wa mipasho haha malkia wa umbea tasnia ya umbea itayumba ukistaafu haha
😀
Hiyo style ianfanya mpaka mbupu zizame zote.haha staili za GuDume za kuokotesha bukubuku huku demu anachuma mboga!
Dah😆🙌
Naigawa for free so please over please come here.Nina hamu na kile kitu na hivi nina mwaka sijakipata😔😢
Vigezo na masharti kuzingatiwaNaigawa for free so please over please come here.
😁😁😁yupo mkoani namtunzia jirani wewe siyo mtu mzuri kumbehaha mlango upo wazi najua huyo mzee wa zege hakupi
Wasaidizi wake(malaika)Kwani mungu aliposema "na tufanye mtu kwa mfano wetu alikuwa na nani?"
Nipe masharti nitavizingatia.Vigezo na masharti kuzingatiwa
Mimi na maumbile yangu tutakusaidia, right?Wasaidizi wake(malaika)
Lakini umeshasema mungu
Hayo ni maneno yake huwez yalinganisha na yako