Yah ni classy Sana. Nilipapenda level 1.Level 8 is no more, wamehama kwa sasa wanapaita level 1, ipo mitaa ya kambarage.
Hapa Pagumu Wabongo Wanasema Hapanogi Kabisa Yaani Hata Kurumangia Kwa KachumbariHahaaa shinyanga aisee hapafai. Nilikuwa last week hapo kwasiku tatu, mayoo nilikoma. Ila Kuna kiwanja kipya kimeanzishwa ni kizuri Sana kinaitwa level one Kama skosei.
Ha ha haMwenye buku tano jamani ndugu zangu naomba anisaidie jamani nimekwama hapa umeme luku umeisha na ni zamu kulipia na nikijicheck sina kitu mfukoni mpaka jumatatu ndo niingie job mwenye nayo mi ntamrudishia 0674615883 jina john nyambina
Aahha mie rafiki yangu ni Yule meneja...akiniona lazima anipe samaki mkubwaaHa ha ha achana na yule muhudum..mrefu wa kinyarwanda
Uyo simjui....namjua mzee fulan anachukua Oda uku anagonga tungiAahha mie rafiki yangu ni Yule meneja...akiniona lazima anipe samaki mkubwaa
Kwa Bei gani....huku vitu havichezi nje ya buku6 had ten for normal menyuKama unataka msos mzur sogea freepark utapata kuku safi
Duh!? Kama hapa ziwa limesogea hiv na bwalo la polisi je hali ipoje?Tembo beach 02:47View attachment 1523006
Mi ninayoMwenye buku tano jamani ndugu zangu naomba anisaidie jamani nimekwama hapa umeme luku umeisha na ni zamu kulipia na nikijicheck sina kitu mfukoni mpaka jumatatu ndo niingie job mwenye nayo mi ntamrudishia 0674615883 jina john nyambina
HakufaiDuh!? Kama hapa ziwa limesogea hiv na bwalo la polisi je hali ipoje?
hivi Mara dishes bado ipo ?
Sijajua mwaka jana skuikuta pale opposite na line polisi walikua na uji safi sana
I was been there for almost 20 years asee uniambii kuhusu bwalo la Magereza, mara dishes, Line polisi, kwa mapinduzi show room, stend ya zaman, sokoni, mwigobero, kwa Manoti photostudio, Metre po, kwa hussein sokoni, Baraka muuza vifaa vya pikipiki, mtaa wa keneddy kwenye ofisi ya kimotco na Coast line, Kwa chief kiumbe, bank ya NBC, mtaa wa iringo mpk kule kastamu, kwa ostaz muuza chips maarufu, kwa mpika vitumbua Masisa wajukuu wake wapo dar wanauza uji, mtaa wa mkendo kati, mkendo kubwa pale kwa mafundi pikipiki wanamuita Father,Shabani yote, mtaa wa makongoro mpk nyamatare kote nimechafua plus kusoma shule za nyakato kule kama unaenda kiwanda cha nguo Mutex, machinjioni, lwamlimi kote nimechafua
Uo mtaa wa makongoro unanini...hasaa naona unasifiwa sifiwaI was been there for almost 20 years asee uniambii kuhusu bwalo la Magereza, mara dishes, Line polisi, kwa mapinduzi show room, stend ya zaman, sokoni, mwigobero, kwa Manoti photostudio, Metre po, kwa hussein sokoni, Baraka muuza vifaa vya pikipiki, mtaa wa keneddy kwenye ofisi ya kimotco na Coast line, Kwa chief kiumbe, bank ya NBC, mtaa wa iringo mpk kule kastamu, kwa ostaz muuza chips maarufu, kwa mpika vitumbua Masisa wajukuu wake wapo dar wanauza uji, mtaa wa mkendo kati, mkendo kubwa pale kwa mafundi pikipiki wanamuita Father,Shabani yote, mtaa wa makongoro mpk nyamatare kote nimechafua plus kusoma shule za nyakato kule kama unaenda kiwanda cha nguo Mutex, machinjioni, lwamlimi kote nimechafua
Shinyanga mjini syo labda kahamaHapa Pagumu Wabongo Wanasema Hapanogi Kabisa Yaani Hata Kurumangia Kwa Kachumbari
Kama unataka msos mzur sogea freepark utapata kuku safi
Hapa Hamna Kitu Yaani Bure!!!Shinyanga mjini syo labda kahama