Leo Tupo hapa Dampo chanika

Leo Tupo hapa Dampo chanika

JosephElly

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,432
Reaction score
1,035
Kama ilivyo ada... Wana JF kushirikishana na kukaribishana viwanja.. Kwa mwana JF yoyote anakaribishwa, inzimixa utitiri pub. Honest kabisa... manoah Paloma figganigga ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
mhhh haya hamna familia zakuwa nazo???
dampo si kuna mauchafu??
 
Hahaha...weka dau mezani basi ili nikuje pande hiyo haraka mno...maana sikukuu hii sina kabisa dinero!
teh teh teh.... Ajira natoa mwenyewe arif. Watu wananjaa mbaya pande hizi
 
Hahaha...weka dau mezani basi ili nikuje pande hiyo haraka mno...maana sikukuu hii sina kabisa dinero!
hapa dau ni bei chee tu na wachezeshea.... Ila kama unaweza fanya mchakato wa lori 2 za majani ya migomba tuongee biashara arif
 
Mhh makubwa! Dampo na mvua hizi si ni balaa!


"Usile nyama siku ya ijumaa kuu!"
 
Nitafanya kama lori 3 hivi...labda tuanzie hapo

hapa dau ni bei chee tu na wachezeshea.... Ila kama unaweza fanya mchakato wa lori 2 za majani ya migomba tuongee biashara arif
 
Back
Top Bottom