sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Mmeenda kumwaga taka?
Hahahahah! Nimejikuta nacheka kwa sauti peke angu..... Jf mna vituko lol
Mmeenda kumwaga taka?
Kama ilivyo ada... Wana JF kushirikishana na kukaribishana viwanja.. Kwa mwana JF yoyote anakaribishwa, inzimixa utitiri pub. Honest kabisa... manoah Paloma figganigga ladyfurahia
nimekuja kuchukua taka arif.., kuna maishu nimegundua yanalipa