Leo tarehe 12 , 2026.

Leo tarehe 12 , 2026.

Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅

Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha 🤣

Nikaona niseme nao ,uto wapate tu😅
Ndio maana hata matumizi ya pesa zako ni ya kitoto! Mimi simba kindaki lakini siwezi kufanya utoto kama huo
 
Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅

Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha 🤣

Nikaona niseme nao ,uto wapate tu😅
Ulijuaje kuwa kwao na rafiki yako ni wa kishua:

Me: Baba yake alituma milion 1 kufanyia short time party baada ya Simba kuifunga Yanga .
 
Sawa
 
Attachments

  • IMG-20261006-WA0024.jpg
    IMG-20261006-WA0024.jpg
    53.6 KB · Views: 3
Ulijuaje kuwa kwao na rafiki yako ni wa kishua:

Me: Baba yake alituma milion 1 kufanyia short time party baada ya Simba kuifunga Yanga .
😅😅😅 mimi ni mimi sio wewe kwa baba yako sasa😁
 
Back
Top Bottom