Mkuu usinisahau na Mimi mbili TU zinatoshaa😊
Yeye nilimwona akifurahia baada ya lile goli la kwanza la ndondokela kutufungaTulipo fungwa moja mzee mbona NIKITOKA dakika ya 5
Mpanzu akagongesha besela nikaenda zangu nje nikawa nakunywa TU
Ila baadae ikawa furaha
Of course 😁 nilifurahi kinoma noma mzeeeBwashee leo nimekesha tiktok 😅 asee simba tuna energy 🤣
Huyo ni mwanangu hana baya 😀Unaita ma pot kwamba hata haturuhusiwi kutukana tena bwashee 😅
Huyo kweli ana huruma🤣 kisichana changu , kina huruma za kijinga sana 😅 ,kilikua kinanipostia kinavyo wakera ila kwa hapo kimelegeza🤣
No ya kupokea pesa iko wapi kaka😀Mkuu usinisahau na Mimi mbili TU zinatoshaa😊
Tulipo fungwa la kwanza nilichukia sana yule maema nikawa namlaumuYeye nilimwona akifurahia baada ya lile goli la kwanza la ndondokela kutufunga
Tulipofunga la kusawazisha, alianza kutojibu reply
Baada ya kumpiga la pili, ndiyo akaondoka online kabisa
Na kwa taarifa zangu za ujasusi, hamjarudi hewani tangu juzi 🤪
THIS IS SIMBA BROZA😀One love bwashee 😅 mimi nanyonga tu halafu nilisha bonda🤣🍻🍻🍻
Kosa la Maema humtokea mchezaji yeyote, ila Ile kesi ya Baka, ndiyo aibu ya KarneTulipo fungwa la kwanza nilichukia sana yule maema nikawa namlaumu
Nilichukia
Kwa hili ulilosema bwashee nimetungua vodka nyingine tena😅Kosa la Maema humtokea mchezaji yeyote, ila Ile kesi ya Baka, ndiyo aibu ya Karne
Jamaa amemkimbiza hatimaye akakaa chini kumwangalia Mpanzu akienda kufunga 🤗
Yaani alifanywa Kuruta kabisa kwenye Ile muvi
Nitafanya hivyo Mkuu, na kwa pumzi ya moto tunayowapelekea jangwani, nina imani tutawafunga hadi yule Kocha wao wamtimueBwashee waandalie mbuzi mkubwa unyamani hatunaga kazi ndogo😁