DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,959
- 30,816
Una undugu na Makonda?Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅
Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha 🤣
Nikaona niseme nao ,uto wapate tu😅
Naona mindset zenu zinafanana.