Leo tarehe 12 , 2026.

Leo tarehe 12 , 2026.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
60,391
Reaction score
174,775
Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅

Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha 🤣

Nikaona niseme nao ,uto wapate tu😅
 
Screenshot_20261003-223940~2.jpg
 
Nimetuma sh million 1 za kitanzania shule anayosoma binti yangu, kwa ajili ya kusheherekea ushindi wa simba dhidi ya uto , nikatoa maelekezo kwa mwalimu asiwape uto 😅

Ila binti yangu akalia na kupiga simu kuwa marafiki zake wengi ni uto na mnyima furaha 🤣

Nikaona niseme nao uto wapate tu😅
Goli la mpanzu kama mambele

Nifuraha sana
 
Nilitamani hao Uto wangepewa kazi ya kufungua vinywaji na kuhudumia wageni

Wakilia lia, wapewa video ya goli la Mpanzu wazidi kutoa machozi 🤪

Juzi ndiyo nilijua mnene wa JF, naye ni Uto kumbe 😅😅

Maxence Melo
Tulipo fungwa moja mzee mbona NIKITOKA dakika ya 5

Mpanzu akagongesha besela nikaenda zangu nje nikawa nakunywa TU

Ila baadae ikawa furaha
 
Nilitamani hao Uto wangepewa kazi ya kufungua vinywaji na kuhudumia wageni

Wakilia lia, wapewa video ya goli la Mpanzu wazidi kutoa machozi 🤪

Juzi ndiyo nilijua mnene wa JF, naye ni Uto kumbe 😅😅

Maxence Melo
🤣 kisichana changu , kina huruma za kijinga sana 😅 ,kilikua kinanipostia kinavyo wakera ila kwa hapo kimelegeza🤣
 
Back
Top Bottom