Teh teh teh teh teeeeeeeeeeeeeh, hata kukaribishana hakuna!!!!!!!?
kuna mshikaji mmoja anapiga kazi ya kulima jembe la mkono,akipewa wali lazima iwe ugomvi,yaani kumpa wali kama anateswa vile,apewe ugali utaona anavyopiga halafu maji ya kunywa apewe jagi kabisa.Duh... ila kwa wasukuma inaweza ikawezekana! hahahaaa!
Tusitanie jamani, kulingana na kazi wanazofanya, ndugu zetu wasukuma wanagonga ugali ile mbaya!
wakimaliza wanalala hapo hapo
hujawahi kuona nini wageni toka shamba wakiingia mjini siku ya kwanza, msosi wa familia nzima ukiletwa mezani ye akipakua anachukua robo 3 loteNa ku.nya pia hapohapo....ila hawa walikua wakijishaua tu mbele ya camera. ..inaonekana km ni chakuka cha sherehe ya watu kadhaa