leo sikuwa na hamu ya kula nilionja tu

leo sikuwa na hamu ya kula nilionja tu

Duh... ila kwa wasukuma inaweza ikawezekana! hahahaaa!

Tusitanie jamani, kulingana na kazi wanazofanya, ndugu zetu wasukuma wanagonga ugali ile mbaya!

Hahahahah...watakunyang'anya mke shaurilo...
 
hujawahi kuona nini wageni toka shamba wakiingia mjini siku ya kwanza, msosi wa familia nzima ukiletwa mezani ye akipakua anachukua robo 3 lote

Sijawahi lkn hilo beseni hawawezi maliza..dah ni kubwa aisee
 
Yanapikwaje?
ni kama aina za tambi hivi,so upishi hautofautiani sana inategemea na jinsi mtu alivyoamua kupika,mfano mi nayachemsha kwenye maji mengi mpaka yaanze kuiva then namwaga maji yote nakausha,kisha nachanganyia mchuzi wa nyama niliopika pembeni.
 
Back
Top Bottom