Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.
Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.
Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.

Sasa usipoenda utajuaje kama ni kweliNdani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.
Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.
Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.
Bora ununue bia baridi......kaa kwenye TV......mtizame Magufuli na Majaliwa wakishiriki usafi.......msubiri mama Neema arudi nyumbani mlale.......kwanza kushakua usiku saa hizi..........
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO.
Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo Mabatini kwa dada yake anaumwa.Rafiki yangu ananilazimisha twende kwenye hiyo gesti tukafumanie.Kwakweli nimechanganyikiwa sana mapigo ya moyo yamebadilika.
Wadau busara ni nini hapa niende gesti au nisiende? Maana hata sielewi kabisa.
Hivi mtu aliyefumaniwa anawezaje kupata muda wa kuandika uzi jamani km sio fix hizi!!!.

Achana na maneno ya watu mkuu. Maneno yanavunja unyumba. Akirudi mpige busu na big hug kisha maisha yaendelee bila kusahau kuulizia hali ya mgonjwa
We kichwa yako nzima kweli ama hujui uzito wa ndoa,mimi hata angekuwa demu wangu tu ningeenda kufa na mtu sembuse mke.
Huyu shetani wa leo ni kiboko. Wanaume wanachapwa kutoka kila upande.
Binafsi sina hakika kama naweza kufumania.
Bado nipo mzima jamani sijafa ila imeniuma sana tena sana