Leo nisipokufa basi sifi tena

Mama Neema anatumbuliwa jibu,,, na msindano wa kudungia ng' ombe cunajua ulivyo mkumbwaaaaaa
 
Huyu shetani wa leo ni kiboko. Wanaume wanachapwa kutoka kila upande.

Binafsi sina hakika kama naweza kufumania.
 
Au andaa mashaidi fumania afu Mme mwenzio akulipe fidia mkuu naona million nane zileeeeeeeee unaenda kulipwa
 
hii porojo umeamua kutunga kufurahisha wa2 ......nguvu y kuandika unayo ya kwenda kufumaniwa huna
 
Mama hummudu tafuta unaye mmudu.. Kwani andiko lako laonyesha unamuogopa sana mama Neema ..
 
wanawake wa leo hao,natamani nikusaidie walau kwenda kula tig ya huyo ----
 
Mwambie rafiki yako aache umbea, uchonganishi na ushakunaku.....

Huo.muda autumie kumchunguza mkewe na yeye akamfumanie
 
Kama hujafa mpaka sa hii, hufi tena mkuu
 
Vipi mkuu mkeo kashatoka kutumbuliwa jipu? maana wewe kazi imekushinda unabaki kutulilia huku JF.
 
Tena jamaa wa tanesco....!Hawa wanaokata umeme hovyo hovyo unashindwaje kutusaidia kutumbua jipu hili ndugu..!
 

Mtu aliyechanganyikiwa hawezi kupost huu upuuzi..nauhakika wew bado unaakili nzuri na mda huu unaoomba ushauri najua mkeo tayari keshavuliwa chupi huko so acha kuomba ushauri chukuwa maamuzi mazito
 

haujafa tu
 
Ww unaambiwa mkeo anagegedwa eti umechanganyikiwa umekaa nyumban ungeenda ukahakikishe maradhi mengi boya ww ataleta ukimwi nyumban
 

Mkuu upo hai kweli? Mbona unatustua ? Tunaomba mrejesho tafadhali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…