loosing them down! Mtambuzi ukilike hii nakudunda!
huyu mbabu we achana naye mwayego!Afadhali umeweka angalizo, maana huyu Bro angu hajui kuwa kuna vitu ni maalum.....
Hii nimei-like peke angu mwaya!
Ila hiyo "loosing them down" ndo ipi kwenye hizi picha za huyu Mbabu?
loosing thn down ni kama hii mwaya
kuishi hapo shingoi hayo mengine usingalie na wewe!kha!
Eh kumbe ni hii?
Naipendaga hii kiti, ila kuna watu huwa haiwapendezi....
Mi nimeishia kwenye nywele tu hayo mengine umenionyesha wewe mwenyewe, tusilaumiane!
kwani nyusi ni lazima zitindwe ndo zimpendezeshe mtu?babu weeeee vitana vipo kwa ajili ya kuzichana zilete mvuto kwa akina sie tusiohitaji gharama,,,,,,,,,sikusapoti kwenye nyusi na kope,hayo mengine big like
ahahahahhaha kweli bana!
hapo na rishafo imefanikiwa!
ahhahahahha Mtambuzi nilikuetee mzinga wa zanzi au Ballentino?
huyu ndo kama mimi, swala la kutinda nyusi hata uniambieje sitakuelewa, urembo mwingine wote nitafanya lakini sio kutinda nyusi
Jamani mbona hizi abominations haziishi?
Yaani kuchat uchat na mimi, zawadi ya Zanzi apewe Mtambuzi.... Si majanga haya?
Hii kitu hupendagi?
Naona siku hizi kama imekuwa fashion imerudi, naona wengi wanaipaka kwa msisitizo zaidi!
Nimekuja mrembo wanguHaya warembo mkuye huku mnaitwa. Heaven on earth, Chocs, Cantalisia, Asnam, Mkunde Original, KOKUTONA, tinna cute, Batuli aka Cleopatra, amu, mimi49 n.k
Kuna darasa huru hapa limetolewa.
Nimekuja mrembo wangu
Semina limeniingia vilivyo...za siku jirani yangu?
Mtambuzi nimekupata kaka mkubwa.
Utatukuta tu besti...halafu wengine tutatembea kuelekea Morocco na kuwaacha kina Mtambuzi na vikongwe wenzake.
Hivi ule mpango wako wa jogging hadi Morocco uliacha?
Ok will join you soon he he hee Morocco nimehama now niko upanga, mie ntakuwa kwenye kundi la vikongwe naungana na Mtambuzi kikongwe mwenzangu as ulivosema.
Ile ya mie kwenda Morroco ilikuwa kutembea na si jogging pia niliiacha coz nilishambuliwa sana na watu humu na pia kuna watu wakaniambia risk ya kukabwa na vibaka na wezi hasa maeneo ya salender nikaogopa nikaacha now ntafanya root ya kikongwe.