Kero: Wanawake wanaouburuza viatu

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,514
Habari wakuu,

Kuna wanawake baadhi wanatabia ya kuburuza viatu.

Utakuta anatembea anaburuza viatu yaani watu wanamshangaa..

Yeye anaona ni kawaida tu anaburuza mayebo yake...

Mdada mzuri unaburuzaje viatu vyako, mavumbi yamekujaa uchafu tu...

Hii tabia imekuwa ni kero na imekomaa na Wanawake wao wanaona kawaida..

Hapa nipo hospital amepita mwanamke anaburuza maviatu yake...

Watu wote wanaamshangaa sana, yeye Wala anaburuza kwarakwaaraaa...

Ni uchafu pia maana miguu haiwezi kuwa misafi unachafuka...

Juu unakuta mwanamke kapendeza lakinia anaburuza sandals...

Miguu imejaa mavumbi yote alafu anajiona kapendeza jamani urembo sio mrahisi...

Ninavyoandika hapa anapita Tena
 
Ukute kashikilia na dera lake 🤔🤔🤔yaan kwenye nyumba za kupanga zenye corridor ndefu mtu anaburuza miguu mpaka kama ulikua unadinya mgeni stimu inakata
 
Ukute kashikilia na dera lake yaan kwenye nyumba za kupanga zenye corridor ndefu mtu anaburuza miguu mpaka kama ulikua unadinya mgeni stimu inakata
Wanakera sana...

Akipita lazima ujue kapita..
 
Tangu nigundue binadamu hatujakamilika na wengi wanatumia vitu fulani kuficha udhaifu wao nilishaacha lawama za ajabu ajabu. Ukute ana matatizo ya miguu usiyoyafahamu hivyo anaburuza kupunguza maumivu au kuficha udhaifu fulani
 
Tangu nigundue binadamu hatujakamilika na wengi wanatumia vitu fulani kuficha udhaifu wao nilishaacha lawama za ajabu ajabu. Ukute ana matatizo ya miguu usiyoyafahamu hivyo anaburuza kupunguza maumivu au kuficha udhaifu fulani
Sio wote...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom