Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

Afadhali umeweka angalizo, maana huyu Bro angu hajui kuwa kuna vitu ni maalum.....

Hii nimei-like peke angu mwaya!

Ila hiyo "loosing them down" ndo ipi kwenye hizi picha za huyu Mbabu?
huyu mbabu we achana naye mwayego!

loosing thn down ni kama hii mwaya
375404_10151126459086533_1991604785_n.jpg

kuishi hapo shingoi hayo mengine usingalie na wewe!kha!
 
loosing thn down ni kama hii mwaya
kuishi hapo shingoi hayo mengine usingalie na wewe!kha!

Eh kumbe ni hii?
Naipendaga hii kiti, ila kuna watu huwa haiwapendezi....

Mi nimeishia kwenye nywele tu hayo mengine umenionyesha wewe mwenyewe, tusilaumiane!
 
Eh kumbe ni hii?
Naipendaga hii kiti, ila kuna watu huwa haiwapendezi....

Mi nimeishia kwenye nywele tu hayo mengine umenionyesha wewe mwenyewe, tusilaumiane!

ahahahahhaha kweli bana!
hapo na rishafo imefanikiwa!
ahhahahahha Mtambuzi nilikuetee mzinga wa zanzi au Ballentino?
 
Last edited by a moderator:
kwani nyusi ni lazima zitindwe ndo zimpendezeshe mtu?babu weeeee vitana vipo kwa ajili ya kuzichana zilete mvuto kwa akina sie tusiohitaji gharama,,,,,,,,,sikusapoti kwenye nyusi na kope,hayo mengine big like

Same language madam!!
wanachonishangaza wakishazitoa,wanapaka tena wanja!?
 
ahahahahhaha kweli bana!
hapo na rishafo imefanikiwa!
ahhahahahha Mtambuzi nilikuetee mzinga wa zanzi au Ballentino?

Jamani mbona hizi abominations haziishi?
Yaani kuchat uchat na mimi, zawadi ya Zanzi apewe Mtambuzi.... Si majanga haya?

red-lipstick.jpg

Hii kitu hupendagi?

Naona siku hizi kama imekuwa fashion imerudi, naona wengi wanaipaka kwa msisitizo zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona hizi abominations haziishi?
Yaani kuchat uchat na mimi, zawadi ya Zanzi apewe Mtambuzi.... Si majanga haya?

red-lipstick.jpg

Hii kitu hupendagi?

Naona siku hizi kama imekuwa fashion imerudi, naona wengi wanaipaka kwa msisitizo zaidi!

hahahahhahhhaa nilitaka nimuhonge hiyo zanzi akiumaliza si tushamaliza yetu!
we si unajua huyu mzee alivyo mkuda!
angeweka like like zake humuuuuu mwisho mi ngeahirisha kuloose thm down zaidi!

Hayo makitu ya reddo ehehehehehhee uuuuwih!
pana kazi hapo!
 
Utatukuta tu besti...halafu wengine tutatembea kuelekea Morocco na kuwaacha kina Mtambuzi na vikongwe wenzake.
Hivi ule mpango wako wa jogging hadi Morocco uliacha?

Ok will join you soon he he hee Morocco nimehama now niko upanga, mie ntakuwa kwenye kundi la vikongwe naungana na Mtambuzi kikongwe mwenzangu as ulivosema.
Ile ya mie kwenda Morroco ilikuwa kutembea na si jogging pia niliiacha coz nilishambuliwa sana na watu humu na pia kuna watu wakaniambia risk ya kukabwa na vibaka na wezi hasa maeneo ya salender nikaogopa nikaacha now ntafanya root ya kikongwe.
 
Poa poa yote kheri tu....hapo darajani hakuna vibaka best unless upite late sana...
 
Back
Top Bottom