Leo yani sijui vipi. Nina hamu kinoma....NB: mimi ni He!
Afu wewe hadi nikuwowe.
naona unanitaka sana.
NiPM basi nikunong'oneze kitu.
:biggrin1: afya yake huyu kama hana ngoma basi anatumia madawa ya kulevya
Kwanza uache kuokota wanawake wenye miguu myembamba kama mikono.
Leo nimepita kwako nikadhani unanipungia mkono, na mie nikawa napunga huku nakusalimu 'za asubuhi jirani' kumbe mwanamke wako miguu inapepea juu. Khah!
duuuuuuh bora apate dem maana huyo mwngne ni zaid ya demNyie bana mbona hamuelewi? Kisha sema yeye ni HE kwahiyo anaweza kuwa na hamu na demu au.....
![]()
Hujambo weye? Mbona unapoteapotea nawadeiz?