Leo nina hamuuuu

Nyie bana mbona hamuelewi? Kisha sema yeye ni HE kwahiyo anaweza kuwa na hamu na demu au.....
attachment.php
Asprin we kiboko
 
Last edited by a moderator:
Nafsi isikatae mpenzi hizo ni swaga tu,usishtuke.....lol
Sasa sweetlady mbona unaniharibia wajameni mie na weye shogaaaa........ Mr Rocky is my evrising jamani hamna kama yeye wengine wote danganya toto

Hehehehe Bishanga na aache kujishaua manake hana chake..... mie hapa sitii neno tena Yummy nimeridhika na ufafanuzi!
 
Last edited by a moderator:
Hadi huku unafikaga?? kuna akina Eric52 huku..watakufededa na mishakibobo yao pamoja na Young Master..si watu wazuri kabisa! avoid them immediately! Lol..
anders batta mdogo wangu upo?? mom hajambo?? mi kila nikigongana na wewe lazma nimjulie mom wako hali, unanifurahisha kuona unampenda mom wako, natamani wale wangu wakikua na wao waseme AM THE BEST!
 
Last edited by a moderator:
Hadi huku unafikaga?? kuna akina Eric52 huku..watakufededa na mishakibobo yao pamoja na Young Master..si watu wazuri kabisa! avoid them immediately! Lol..
Heheheee kijana upo?
Naona uko na nanii lol
Salamu zangu kwa wingi sana anders batta !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom