Leo nina hamuuuu

umenitupa sana kiongozi..au bia za R'chuga zina sukari nyingi kuliko za dar ndo maana unabobea huko?? kitu ndovu bariid!
Hahahaaa anders batta nipo kaka sema nilibanwa sana aisee
Kuanzia wiki ijayo niko free na naweza ibuka jijini so usijali
Ndofu ya huku tamu balaa lol
 
Last edited by a moderator:
Nyie bana mbona hamuelewi? Kisha sema yeye ni HE kwahiyo anaweza kuwa na hamu na demu au.....
attachment.php

Dah kijana kalaaniwa. Handsome namna hii, anaachia jicho?! Wala simtaki
 
Back
Top Bottom