Leo nimeweza kumwona mmasai mfupi

Leo nimeweza kumwona mmasai mfupi

Aisee katika pita pita zangu Leo nimemwona mmasai mbili kimo,nahisi hata wale wenye ulamavu wa ngozi wapo

Kama alisimika mkuki mtu mfupi lazima aliacha hiyo mbegu, maana aliyewahi kusimika mkuki ndo huacha mbegu.
 
sijwahi ona mwanamke wa kimasai mwenye Chura, hivi wapo?
 
Back
Top Bottom