Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
CEO Yericko Nyerere ana gari !?
Last edited by a moderator:
Inavyosemekana ati gharika la Kahama ni damu za Zeru zinawarudia?!
Wakuu kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka Sita Leo nimefanikiwa kujaza full tank kwenye noah yangu for only 88.000.IT FEELS SO NICE.TRY IT.Ahsanteni EWURA
Wakuu kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka Sita Leo nimefanikiwa kujaza full tank kwenye noah yangu for only 88.000.IT FEELS SO NICE.TRY IT.Ahsanteni EWURA
naomba ufafanuzi juu ya hili mkuu
Kuna uhusiano mkubwa sana wa mafuta kuisha haraka kama kuna big empty space kwenye tank la mafuta ukilinganisha na mtu aliye na full tank au hata half full tank..hii ni scientifically proven na ilishawekwa hapa jf siku za nyuma japo nimesahau kidogo sababu zilizoainishwa ila moja wapo nadhani ni vaporization kama unamafuta kidogo kwenye tank
Tofauti ni Lita ngapi? Yaani nikiwa naweka Lita kumi kumi na anaeweka full tank,napoteza Lita ngapi zaidi ya anaeweka full tank
Sikumbuki...ngoja nikiipata ile article ntaitupia humu
Pouwa maanake mimi ndio wale wa kuweka kila baada ya siku mbili!
JF Kila mtu ana gari.
JF Kila mtu ana gari.
Kuna uhusiano mkubwa sana wa mafuta kuisha haraka kama kuna big empty space kwenye tank la mafuta ukilinganisha na mtu aliye na full tank au hata half full tank..hii ni scientifically proven na ilishawekwa hapa jf siku za nyuma japo nimesahau kidogo sababu zilizoainishwa ila moja wapo nadhani ni vaporization kama unamafuta kidogo kwenye tank
Kila kitu kilijibiwa kwenye ule uzi mkuu...ngoja niutafuteI thought tanks are air tight, sasa sijui hiyo vaporization ikitokea mafuta yanapitia wapi ku-escape!?
Tofauti ndogo au hebu tizama kwa hivi;Kuna uhusiano mkubwa sana wa mafuta kuisha haraka kama kuna big empty space kwenye tank la mafuta ukilinganisha na mtu aliye na full tank au hata half full tank..hii ni scientifically proven na ilishawekwa hapa jf siku za nyuma japo nimesahau kidogo sababu zilizoainishwa ila moja wapo nadhani ni vaporization kama unamafuta kidogo kwenye tank
[h=5]Fuels[/h]I thought tanks are air tight, sasa sijui hiyo vaporization ikitokea mafuta yanapitia wapi ku-escape!?
Ungejuaje kama ana vitz ya mkopo pasua kichwa.
Pouwa maanake mimi ndio wale wa kuweka kila baada ya siku mbili!