Leo nimeweka full tank

Leo nimeweka full tank

Mimi bado sijaona tofauti ya mafuta kushuka, naweka ya 20,000 kila siku.
 
Miaka sita yote unamiliki gari hiyo hiyo tu. Badilisha gari litakufia. Utaanza kuingia gharama za matengenezo utaisahau hiyo full tank.
actually this is my second car
 
Hongera mkuu, technically ukiweka full tank unatumia hela kidogo kuliko ukiweka kidogokidogo.. Na mafuta kwenye gari hayaliwi kwa wingi kama ukiweka kidogokidogo.. Big up

naomba ufafanuzi juu ya hili mkuu
 
Huu uhaba wa habari nayo hii ni habari? miaka 6 gari za siku hizi tizama ndg yangu utakuwa fundi muda si mrefu mambo yakienda halijojo.
 
Hizo ni habari njema; mimi nilijaza toyo yangu nina almost 3weeks sijapita hiyo mitaa ya filling station; ngoja kesho nikaangalie huo unafuu
 
Back
Top Bottom