jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
ni kwenye toyo au noah hebu kumbuka vizuri mkuu
Wakuu kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka Sita Leo nimefanikiwa kujaza full tank kwenye noah yangu for only 88.000.IT FEELS SO NICE.TRY IT.Ahsanteni EWURA
Hongera!
Kaka hii sredi imenichekesha but inaonyesha jinsi watu wanavyoumia kwa bei za kisu za mafuta.....yanatakiwa yashuke zaidi ya hapa hata hivyo sema basi tu.
Nahisi misele mitaani imeongezeka sana
Hujasema lita ngapi for that amount
Mi nikiweka elfu 10 natumia siku mbili,nikiweka 30 natumia siku mbili, kwahio imeamua kuweka 10,000 tu! Sijui kwanini gari ikiwa na mafuta napata safari nyingi!
Wakuu kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka Sita Leo nimefanikiwa kujaza full tank kwenye noah yangu for only 88.000.IT FEELS SO NICE.TRY IT.Ahsanteni EWURA
kula AC sasa mkuu
Patrickn unategemea muuza mafuta akwambie uweke Lita mbili? Hao ni wafanyabisshara! Mafuta ukiweka half tank ndio vizuri kwasababu
1.full tank inaongeza uzito na hivyo kuongeza ulaji was mafuts
2.mafuta yakishuka chini ya robo no hatari kwa fuel pump yako.
Kuhusu evaporation kwenye tank kuna jinsi ambavyo evaporated fuel inakuwa channelled to the engine(nimesoma mahali nikikumnuka nitaleta hapa)
Uzito unaoongezeka kwa sababu tu ya full tank ni kidogo kiasi ambacho nadhani hakiathiri ulaji zaidi
Kwa 1652 ni lita 53, Noah ina tank dogo,inajaa!
Ushafuatilia F1 kipindi wana different strategy za mafuta?! Ksama umewahi kufuatilia utanielewa kuhusu effect ya full tank! BTW hata hio evaporation ni ndogo sana kiasi cha mtumiaji wa ksawaida kuona tofauti.
Kuna nafuu. Huku waja leo waondoka leo tulikuwa tunanunua 2310 sasa ni 1700
Ungejuaje kama ana vitz ya mkopo pasua kichwa.