Kaka mzee wangu alikuwa anamiliki Avoni,hakuna aliyekuwa anaruhusiwa kuipanda zaidi ya kuiosha
Naungana na wewe mkuu........kiasi cha pesa nilichokuwa najaza mimi........kimeongezeka lita tatu juu........EWURA hoiyeeeeee.........
Badala ya kuwashangilia EWURA, pelekeni pongezi kwa mzee Putin, asifikie muafaka Ukraine, vinginevyo kesho mtakuja kuwatukana EWURA
nivoona actually moja kwa moja akili imenituma mpakana mwa uganda
Hongera. Lakini ujue ikiibwa watafika nayo mbali sana.