Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,984
- 11,794
JF Kila mtu ana gari.
Mimi tu ndio nina baiskeli ya urithi !!!!!!
JF Kila mtu ana gari.
Mimi tu ndio nina baiskeli ya urithi !!!!!!
Tuko pa1 mkuu swala au avoni?
Tuko pa1 mkuu swala au avoni?
Si wewe tu mkuu,mi pia nilikua na hako katabia hadi nilipopata fuel card na kuwa napiga full tank ndio nikaanza kuona tofauti
Fuel card ya Puma?
Exactly mkuu...upo juu
Ndo maana mi huweka ya buku kumi tuHongera. Lakini ujue ikiibwa watafika nayo mbali sana.
Miaka sita yote unamiliki gari hiyo hiyo tu. Badilisha gari litakufia. Utaanza kuingia gharama za matengenezo utaisahau hiyo full tank.
Tell me more about it, unatakiwa kufeed kuanzia kiasi gani mkuu? nadhani ni nzuri kuwa nayo...
Tell me more about it, unatakiwa kufeed kuanzia kiasi gani mkuu? nadhani ni nzuri kuwa nayo...
Kufeed amount inategemea na uwezo tu maana kuna kampuni wanawekewa kuanzia laki moja na kuendelea ...tena monthly
Kwa 1652 ni lita 53, Noah ina tank dogo,inajaa!
JF Kila mtu ana gari.
Hahahahaha umenikumbusha mbali sana.
Hongera. Lakini ujue ikiibwa watafika nayo mbali sana.