Huyu jamaa alikuja na kathread kake eti kaota ndoto mara kupata fahamu akajikuta GAMBA limevuka!!! Lakini sio wa kuaminika sana
Umri wangu wa zaidi miaka mitatu hapa jamvini sijawahi kupata BAN labda sijui ufanyeje, vipi homa inapanda na kushuka? Dada yako kaja kukujulia hali ila naona kaanza na kashfa sijui kwasababu na wewe ulisema kuwa kala BAN? mMmmh haya MWITA
Nitahakikisha unakula ban japo ya siku tatu
Hii thread haitakamilika bila post ya dadangu AshaDii.
Hii thread haitakamilika bila post ya dadangu AshaDii.
faiza mambo vp,pole kwa ban ndugu
Rais mjanjamjanja sana yule.
Mkuu una ID nyingi nini? Umejuaje kama Faiza Foxy walimpeleka India hali ya kuwa wewe umejiunga juzi? Nalog offfaiza mambo vp,pole kwa ban ndugu