Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,934
wadau heshma kubwa ziwaendee leo nimetimiza rasmi mwaka tangu niwe active member wa forum hii. Hata nililiifahamu jukwaa hili mwaka mmoja nyuma na nilikuwa naingia humu kama guest.
Hakika jf imekuwa ni source kubwa ya habari kwangu na na hata shule kwa mambo mbalimbali,
viva jf idumu daima
Hakika jf imekuwa ni source kubwa ya habari kwangu na na hata shule kwa mambo mbalimbali,
viva jf idumu daima