Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Kongole mkuu, mimi nimefikisha robo tatu yako
 
Amani ikufikie na uongezewe miaka bwerere Jamvini na Uraiani.

Miaka 15 ni miaka mingi JF lazima una chumvi za kutosha.
 
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Kwahio mwaka huu nina miaka 17 huku Jamii Africa na Sina hata demu?? Matumizi mabaya ya mtandao
 
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Mie nina miaka 16 na sijala ban hata siku mmoja
 
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Hongera natamani nifikishe idadi hiyo ama zaidi katika jukwaa hilipenwa.
 
Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.

Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.

Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Hongera sana mkuu, mie ni mmoja wa waliobadili ID
😀 😀 😀 maana nina miaka 20 hapa JF toka wakati ikiitwa Jambo Forums. Sisi ndio wahenga wenyewe wa JF😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom