Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
- Thread starter
- #241
Uko poa lakini? Mwaka wa 17 huuSafi mkuu
Uko poa lakini? Mwaka wa 17 huuSafi mkuu
Salama kabisa, hongera sana mkuuUko poa lakini? Mwaka wa 17 huu
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Halafu anakua chawa wa CCM halafu unakuta ananipiga mkwara ananiita dogo
Hongeraa sana brother 😊 😊 uishii sana sanaa.Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.
Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF.
Kama una jambo ungependa kuuliza, karibu.
Shukrani saaana sanaHongeraa sana brother 😊 😊 uishii sana sanaa.
Sio mchezo kabisa kabisa heko nyingi sana sanaa kwakoo