Leo nimetembelea Addis Ababa

Leo nimetembelea Addis Ababa

Ha Ha Ha Falcon Mombasa Umeleta Mambo hapa. Ukweli wenzetu wana nidhamu ya kazi , kuanzia cheo cha juu mpaka wagfagizi. Customre Care wanajitahidi(Mi nilikuwa huko May). Wahudumu wa hotel wana nidhamu na kukuchangamkia kwa kweli. Wakikuona unashangaa shangaa wanakuuliza kama una shida gani ( pamoja na kuwa si kwamba wanafahamu saana Kiingereza) kwa kweli jamani Customer care Tanzania tunatia aibu. Halafu jinsi wanavyomjua Mwl. Nyerere ( tena vijana tu) nilishangaa wakati huku sisi baadhi ya vijana wala hawaijui Historia yake!
Tatizo tu Ethiopia ilifanyie kazi kuhakikisha huu umasikini uliokithiri kwa watu fulani unatoweka ndio unaosababisha watu kukimbia nchi yao. Pamoja na challenge ya population kubwa they have to do something.

Mkuu Vijana wengi waleo wanaangalia nani mwenye uwezo wakununua kofia nyingi zakuwagawia ili wamtukuze hata km MTU huyo atakuja kuwaletea majuto kwenye Taifa Mkuu nisaidie Mimi cjawahi kufika huko Nikwanini nchi inaonekana imeendelea lkn nadhani ndio yenye Maskini wengi pia
 
Kwa kweli wanavutia....ntaenda hata kwa baiskeli...kama yule chalii wa Arusha anazunguka dunia kwa baiskeli mi ntashindwa hapo Ethiopia tu? Najua ntapata tabu njiani ila reward yake nikifika ntasahau shida na mimba zitatungwa...
attachment.php

Wewe huwezi kushindwa kufanya hivyo, maana hupitwi na vitu vizuri vizuri kama hivi.
 
Mkuu Vijana wengi waleo wanaangalia nani mwenye uwezo wakununua kofia nyingi zakuwagawia ili wamtukuze hata km MTU huyo atakuja kuwaletea majuto kwenye Taifa Mkuu nisaidie Mimi cjawahi kufika huko Nikwanini nchi inaonekana imeendelea lkn nadhani ndio yenye Maskini wengi pia

wakuu leo narudi,lakin kiukweli kuna huu msemo watanzania tunapenda kujipa moyo "watanzania wanaamini kila watu wa mataifa mengine maisha yao magumu katika maisha ya mtu mmoja mmoja" na mimi nawauliza je mnahisi ni kitu gani ambacho wewe mkazi dar unapata na mkazi wa majiji mingine nje ya tanzania anakosa? watanzania tuna matope gani kichwani?maisha ya watanzania hayakupaswa kuwa hapo yalipo ukifananisha na rasilimali mlizonazo pamoja na amani,wenzenu hawana rasilimali lakin hamuwafikii acheni kujipa moyo huko maofisin
 
Kwa kweli wanavutia....ntaenda hata kwa baiskeli...kama yule chalii wa Arusha anazunguka dunia kwa baiskeli mi ntashindwa hapo Ethiopia tu? Najua ntapata tabu njiani ila reward yake nikifika ntasahau shida na mimba zitatungwa...
attachment.php

mimba tena mkuu?
 
Gharama na taratibu za kufika huko zikoje ili tukapazuru????

Naomba unipatie full information za visa, nauli, hotels na yote yanayohusiana na safari ili nijipange ikiwezekana nitie timu mwezi ujao.

Thanks

Ha ha ha unamizuka kk, utakuwa msukuma/mnyamwezi mwenzangu ww
 
Kesho kituo cha kwanza faidika wakizingua narukia platnum,nikiona longonlongo najilipua bayport na nikizikamata tuu kituo cha kwanza Addis ababa liwalo na liwe sasa.

Ha ha ha ha sijui ingekuwaje kama ungekuwa na ka nyumba kaurithi kk, wadogo wetu wangesikiaga umeshakapush tayari teh teh
 
Mkuu usisahau kuangalia na fursa za kibiashara, biashara gani mtu unaweza toa bongo kuleta huko kwa wenye mitaji isiyo mikubwa sana, sio unashangaa madem tu

Una akili sana mkuu, tunaenda pale tunachukua dada zao, tunachukua na hela zao pia, project minded
 
Waulize pia hao waethiopia kwanini wanakimbiaga kwao kuja tz maana tumechoka kusikia na kuona wanavyofungiwa Ktk fuso hadi wengine wanakufa kwa kukosa hewa

Hivi wale wanakuwaga wasomali au waethiopia, me nahisi wanakuwaga wasomali wadau
 
Asante Mkuu,niandalie mrefu dizaini ya hao walioko airport kwenye picha. Pia fuatilia na uraia naona safari ya matumaini ya Lowassa inaweza kubuma muda wowote na mimi siko tayari kuongozwa na raisi tofauti na Safari ya matumaini.
Ha ha ha team white hair, p1
 
Mwezi Mtukufu huu mimi huwa sioni kabisa, nimefunga macho hata hii picha humu sijaiangalia!.

Ila kiukweli wanawake wa Kihabeshi ndio wanawake warembo kabisa kuliko wanawake wote wa bara la Afrika wakifuatiwa na Watutsi, ila....maibingwa ni Baganda women!.

Pasco

😕wana nini cha ziada hao baganda mdau, au mishepu maana ndo ugonjwa wangu, waethiopia, wasomalia, na watusi naaminia, ila shepu liwepo bila shepu hata bure cchukui, waangola pia sheeda
 
wakuu leo narudi,lakin kiukweli kuna huu msemo watanzania tunapenda kujipa moyo "watanzania wanaamini kila watu wa mataifa mengine maisha yao magumu katika maisha ya mtu mmoja mmoja" na mimi nawauliza je mnahisi ni kitu gani ambacho wewe mkazi dar unapata na mkazi wa majiji mingine nje ya tanzania anakosa? watanzania tuna matope gani kichwani?maisha ya watanzania hayakupaswa kuwa hapo yalipo ukifananisha na rasilimali mlizonazo pamoja na amani,wenzenu hawana rasilimali lakin hamuwafikii acheni kujipa moyo huko maofisin

Mkuu hebu check hapa
 
Wambie wakupikie injara na fresh meet na uwambie konjoo au madem ni wazuri sanaa ila tatizo wapenda sanaa pesa zaidi ya mapenzi ya kweli ndio wanaongoza kwenye falme za kiarabu kwa kujiuza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom