falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
- #81
Mkuu @falcon mombasa Mihuwa nakukubali pressentesion yako mi ntakutafuta chemba Kwenye mambo yetu kuna mahali tulipoteana Lkn napenda kujua kwa wataalam labda wauchumi nk Kwamba kwanini Ethiopia inasifika kwa maendeleo lkn wananchi ni masikini wakutupwa! Hii kitu huwa siielewi kabisa
ninachojiuliza pia ni kwamba ni kitu gani watanzania wanakipata halafu wa ethiopia hawana,jibu ni kwamba hakuna ambacho watanzania tumewadhidi waethiopia ,tena addis imejengeka dar haioni ndani,nafikiri wako na inspiration ambayo walirithi katika psychology zao ya kuamini maisha mazuri hadi watoke nje ya hapa