Leo nimetembelea Addis Ababa

Leo nimetembelea Addis Ababa

Usiache kutembelea ubalozi wetu pale Bole.Kila Ijumaa jioni na weekends utapata nyama choma na ugali.
Utaachana na njara za kihabeshi.

Ila kuwa makini na tumia condomu.Ukimzalisha mhabeshi tutakusahau.
Fine mwanzoni ilikuwa usd 50,000 juzi nilipokuwa huko walinambia imekuwa usd70,000.

Kwa wasiojua ni kuwa bila kulipa fine hiyo hapo juu hawakuruhusu kuondoka nchini mwao.
falcon mombasa kuja huku sikia hii...
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa na mpango wa kutembelea Botswana kwa hali hii siendi tena😱 Watoto warembo hivi!!! Huko chini si patakuwa laini kama ngisi.
 
Attachments

  • 1435649541799.jpg
    1435649541799.jpg
    30.4 KB · Views: 1,294
Mkuu huko inaonekana ni hatari sana eee, cheki mtoto alivyo laini utafikiri anaoga maziwa. Hao huwa nasikia wana masalia ya kiyahudi.

Mkuu umesema hiyo unywele ni hai ssio marehemu kama za hawa wa bongo? Sasa ntafikiria kwenda kumtembelea rafiki yangu wa huko mmisionari maana mara nyingi huwa anaiomba nikipata muda nikamsalimie.

....Mkuu hata mimi najipanga kurudi hata kwa wiki moja tu
 
Wangekuwa Wabongo tungekoma kwenye mitandao ya kijamii!! Midemu ya Kibongo mifuuuupi kama pimbili,ukikuta mrefu basi matiti utadhania ananyonyesha misukule kutwa Facebook mara ooh like picha yangu kama umeipenda!! Pyuuuuuuuuuuu.
 
Wakuu nipo Addis Ababa, hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu, walahi nawaambia sikutegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya.

Jiji limejipanga hata flyovers za kueleweka, halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje, wenzetu National Housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.

Jamani Addis Ababa ni shughuli nyingine.

Jiji safi sana, aise hivi Tanzania imekosa nini hadi kila kitu kishindikane?

Picha zinakuja soon.

Mkuu nisubiri huko huko,wanaanzia shilingi ngapi? Mkuu sitanii mwenzio hayo mambo ndo pombe yangu kwani situmii tungi lolote isipokuwa. Nipitie wapi shortcut hadi Adi's Ababa?
 
Mkuu huko inaonekana ni hatari sana eee, cheki mtoto alivyo laini utafikiri anaoga maziwa. Hao huwa nasikia wana masalia ya kiyahudi.

Mkuu umesema hiyo unywele ni hai ssio marehemu kama za hawa wa bongo? Sasa ntafikiria kwenda kumtembelea rafiki yangu wa huko mmisionari maana mara nyingi huwa anaiomba nikipata muda nikamsalimie.

Kma utaamua kwenda basi twende wte sabb nami nataka kwenda kutalii nauli ninayo kwenye akiba zangu🙁:thumbup:
 
Chini ya mkoloni mweusi ccm kamwe tusitegemee maendeleo!Tanzania kila mtu mpaka rais ni mlalamikaji.Ethiopia wanasonga mbele pia wao hakuna watu kukimbilia mjini
 
Hapa afrikast wakumwaga,mashombeshombe tuu,sijui Mungu kawaumbaje,wazungu si wazungu,waarabu si waarabu,waafrika si waafrika,halafu hawana matiti makubwa kama dada zetu wa tz.

Uko sahihi
Nishawahi pita huko japo ckupata wasaa wa kutembea kivile, bt I adimit hao wadada WA huko ni habari nyingine!

Kiukweli ni warembo.
 
Mkuu labda uniambie upo maeneo gani ya Addis, maana huo mji ni shida sana. Safari moja nilifika usiku nikapelekwa kwenye five star hotel, palikua maridadi sana, nikasifia sana huo mji. Asubuhi nilipoamka, mbona yale niliyokua nayasema jana yote niliyafuta. Maana City centre ukichungulia chini unakutana na vibanda vya mbavu za mbwa. Yaani hicho kitu kilinistaajabisha sana. Wewe tembea tembea tu huko mitaani utakuja na majibu hapa
 
siweiz kuitetea addis ababa kwa sababu sio nchi yangu lakini penye ukweli ni lazima tuwasifie,labda nikuulize we ulikuja mwaka gani? manake unayoyasema na niliyoyakuta ni tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom