Leo nimetembelea Addis Ababa

Leo nimetembelea Addis Ababa

Nazidi kutamani kuzuru Ethiopia one day. Mana nilikuwa naipenda kutokana na historia yake iliyotukuka ya kutokutawaliwa na wakoloni na pia kuwa chimbuko la rastafar. Sasa na hizi habari za kuwa na wanawake wazuri na warembo namna hii ndio napagawa zaidi.

jipange tu mkuu hapa sio mbali
 
Ushaleta balaa humu ndani........unasababisha dada zangu wa Rombo watorokwe........msafara uelekee Addis.........una nini lakini..........?......

hehehehe hata mi nimekuja kikazi huku,natumia chance effective,waambie masela waje
 
Ethiopian_cabin_crew_oct.jpg

c8f73362ccb98105b82c9ad6d403f168.jpg

.....hii mambo noma sana !!!

Hivi ni macho yangu au maana naona kama hakuna upatanisho wa kisarufi kati ya sura na miguu.
 
Gharama na taratibu za kufika huko zikoje ili tukapazuru????

Naomba unipatie full information za visa, nauli, hotels na yote yanayohusiana na safari ili nijipange ikiwezekana nitie timu mwezi ujao.

Thanks
 
Hiyo picha imenipa picha unavyotumbua majipu huko. Je kuna sehemu kali kama Casablanca au Florida ya kisiwa chetu pendwa nchini Kenya ?
Siongelei Casablanca kwa pale ghorofani NO pale chini penye air condition na kiingilio, pale kwenye mabinti watatu wanao kata rhumba

Watu wanazungumzia Addis we unaleta habari za Kenya! We vipi?
 
Gharama na taratibu za kufika huko zikoje ili tukapazuru????

Naomba unipatie full information za visa, nauli, hotels na yote yanayohusiana na safari ili nijipange ikiwezekana nitie timu mwezi ujao.

Thanks

duuuh mkuu umekuja kwa KISHINDO sana,mi nimefkia kwa baby,gharama kubwa labda za nauli tu,hizo zingine rahisi
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mimi pia nipo Addis Ababa, tayari jiji hili sasa wanaolingalia kwa umakini wanasema litakuwa ni New China ktk Afrika. naomba uangalie pia na mentality za watu wa hapa wapo na displine ya kazi, serikali yao inategemea makusanyo ya kodi na mapato kutoka airline yao . wamedhibiti dola huwezi kutumia dola ki holela, unaichange bank tu. pesa yao, birr ipo na thamani nzuri , exchange yao kwa dola ni nzuri dola moja kwa 22.5 Birr .
 
Kesho kituo cha kwanza faidika wakizingua narukia platnum,nikiona longonlongo najilipua bayport na nikizikamata tuu kituo cha kwanza Addis ababa liwalo na liwe sasa.
 
nikuulize mbona hapa makahaba ni mob kias hichi
 
Kesho kituo cha kwanza faidika wakizingua narukia platnum,nikiona longonlongo najilipua bayport na nikizikamata tuu kituo cha kwanza Addis ababa liwalo na liwe sasa.

mkuu kwani hata hapo mlimani city si kuna mademu pia?
 
Mkuu usisahau kuangalia na fursa za kibiashara, biashara gani mtu unaweza toa bongo kuleta huko kwa wenye mitaji isiyo mikubwa sana, sio unashangaa madem tu
 
wakuu nipo addis ababa hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu ,walahi nawaambia siku tegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya,jiji limejipanga hala fly over za kueleweka ,halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje,wenzetu national housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.jamani addis ababa ni shughuli nyingine.jiji safi sana, aise hv Tanzania imekosa nini hadi kila kitu kishindikane? picha zinakuja soon

Majitu ya vijijini utayajua tu.

Nenda pale manzese. Hata wabongo wana Maendeleo vilevile.
Kukulia vijijini wakati mwingine ni shida sana.
Chunga tu usije uzwa kwa bei ya simu.
 
ama kwa hakika wewe unaifahamu casablanca,sasa pale kuna mabinti wakicheza uchi wa mnyama tena wakinyonyana mate na kuchezeana matiti na sisi macustomer tukifurahi,pale bia ni 300ksh.hapa adis kuna huyu shemej yako ndo kanileta nijitambulishe kwa wakwe,ila wadogo zake pia ni homa ya jiji

hapo patamu, fanya mpango ndugu... wadogo zake sasa teh teh teh
 
hhhhmm... huko sio pakwenda huko, huko ndio utakapoona sheria ya wake wanne inafaa.. hahaa
 
Uchumi wa nchi huko vizuri ila mbona waethiopia wanakimbia nchi hiyo
 
Mkuu huko inaonekana ni hatari sana eee, cheki mtoto alivyo laini utafikiri anaoga maziwa. Hao huwa nasikia wana masalia ya kiyahudi.

Mkuu umesema hiyo unywele ni hai ssio marehemu kama za hawa wa bongo? Sasa ntafikiria kwenda kumtembelea rafiki yangu wa huko mmisionari maana mara nyingi huwa anaiomba nikipata muda nikamsalimie.

Nimecheka Sana hiki ulichoandika hapa yaani Umemkumbuka mmisionari wako baada yakuona hizo Picha dash Nway kila la heri
 
Mkuu@falcon mombasa Mihuwa nakukubali pressentesion yako mi ntakutafuta chemba Kwenye mambo yetu kuna mahali tulipoteana Lkn napenda kujua kwa wataalam labda wauchumi nk Kwamba kwanini Ethiopia inasifika kwa maendeleo lkn wananchi ni masikini wakutupwa! Hii kitu huwa siielewi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom