Leo nimetembelea Addis Ababa

Leo nimetembelea Addis Ababa

Wambie wakupikie injara na fresh meet na uwambie konjoo au madem ni wazuri sanaa ila tatizo wapenda sanaa pesa zaidi ya mapenzi ya kweli ndio wanaongoza kwenye falme za kiarabu kwa kujiuza

na dada zetu wa dar wanapenda nini ?
 
Kwa kweli wanavutia....ntaenda hata kwa baiskeli...kama yule chalii wa Arusha anazunguka dunia kwa baiskeli mi ntashindwa hapo Ethiopia tu? Najua ntapata tabu njiani ila reward yake nikifika ntasahau shida na mimba zitatungwa...
attachment.php

....Mkuu umetisha chukuwa mia
 
😕wana nini cha ziada hao baganda mdau, au mishepu maana ndo ugonjwa wangu, waethiopia, wasomalia, na watusi naaminia, ila shepu liwepo bila shepu hata bure cchukui, waangola pia sheeda
Hao dizaini ya Angola wanaitwa wa Mulato, wako kama Latino!. Hilo la mishepu ni mambo tuu ya atitude of mind, Baganda ni habari nyingine!, tena ili ku add value kwenye soko la Dubai, kila binti anajiita Baganda!, nilikutana na mbongo, kule anasifika ni Baganda kumbe hakuna cha Baganda wala nini ni mbongo tuu hadi kwao napafahamu!.

Pasco
 
Ukabeba mzigo
 
Mkuu hijaibiwa kaa chonjo kuna vijana wayakutaka urafiki then wanakuteka na kukudai fedha kibao
 
Mkuu@Pasco nikisomaga comments zako huwa nacheka sana
 
Hao dizaini ya Angola wanaitwa wa Mulato, wako kama Latino!. Hilo la mishepu ni mambo tuu ya atitude of mind, Baganda ni habari nyingine!, tena ili ku add value kwenye soko la Dubai, kila binti anajiita Baganda!, nilikutana na mbongo, kule anasifika ni Baganda kumbe hakuna cha Baganda wala nini ni mbongo tuu hadi kwao napafahamu!.

Pasco

Pasco we unapajua hadi kwao?hao walatino inabidi tuzungumze vizuri tupange mpango wa kwenda puerto rico
 
Last edited by a moderator:
pia wana leather shoes nzuri sana na imara. hopeful shemeji alikupeleka kununua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom