Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
teh teh!! bas nimepata jibuTarime.....
teh teh!! bas nimepata jibuTarime.....
Ila ule mtaa wa Mitungi na Colombia Street ilinibidi nipite kikakamavu zaidi, maana hayo majina ya mitaa hiyo yalihatarisha amani ya moyo wangu, nikahisi humu wazee wa "ngada" hawakosekani.Hivi mtu akiwa anaishi kwenye hiyo mitaa uliyopiga picha halafu akiulizwa na watu wa mikoani anakoishi atathubutu kusema anaishi Dar?