Yeah Wajerumani ndo walijenga ile shule. Ikatumika kama middle school enzi hizo iliitwa Alliance Middle School na baadae Nyerere akaibadili jina na kuita Mazengo chief wa wagogo.Sasaivi ni chuo cha st john
View attachment 3599576
33 nilikua nakuja sana hapo kupiga stori inaonekana wewe ulikua dogo langu 😄 au wewe ndo dogo tulikupa jina la upatu2013-2016
Hapana bwashee, siwezi kimbia vitu vidogo hivyo ,ni vile tu nilitaka kusoma karibu na wazazisomo la Technical drawing ulianza hata kulisoma kweli lazima ungekimbia kijana wangu
Hahahaha hamna bruh kidogo tuu 😂 mm ni mtulivuBwashee inaonekana umewadonoa sana
We ulisoma wapi mrangi sio Aza kweli 😂Hapo kiliwatoa wahandisi manguli enzi hizo
Sshv tuna vyuo vya wakata mauno tu bldyfcvkbinnnn
Ova
Dah! Hii Kali sasa!kuna huyu mbamizwa ndege nilifurah kumwacha hapo, siku namaliza necta nikachana nguo zote na kuoga maji ya mvua yeye na mmaye odilia wakaanza atafaulu kweli daah secretarybird
Amani alienda KibahaIlikua 2013 nakumbuka kulikua na kina Rashid njambi, Amani alikua form 3 na kina dogo kombe aka kelvin na wengine wengi
Ikifika zamu ya shule ulosoma nistue!
Daah Emmanuel mmari na aliyeshatangulia ? Nilikua Sina habari.Amani alienda Kibaha
Rashid njambi huyu jamaa naambiwa yupo Dar (Alikuwa shekh huyu)
Kuna Rashid mwingine aliitwa Rashid Mkindu alikuwa anatokea Singida(Alifariki toka 2014 mwanzo tu)
Emmanuel Marri ( alifariki 2024 hapo Dar kwa ajali ya boda).
Ahaha umenikumbusha mwanangu KITUKA dogo moja zembe zembe sana..Daah Emmanuel mmari na aliyeshatangulia ? Nilikua Sina habari.
Yeah njambi alikua sheikh nakumbuka na kuna vijana wangu SPCB na vituka aka Eugen .
Dorm 33 walikua wanangu sana , Mimi nilikua nipo Lumumba huko
1970 form one azimio shule ilikuwa nzuri sana kimajengo. Orchad kuna machungwa machenza ba na mabalungi. Papai tunanunua huko kijiji kinaitwa matundaMwaka gani ulikuwa Mo tech?
Aisee mkuu wewe mkongwe kweli kweli.1970 form one azimio shule ilikuwa nzuri sana kimajengo. Orchad kuna machungwa machenza ba na mabalungi. Papai tunanunua huko kijiji kinaitwa matunda