Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Hahaha
 
 
kuwapa wale wajerumani.
Inategemea mzee Mimi nimesoma Mosh Tech na Iyunga Tech ila kwa vifaa vya kalakana na kitambo Iyunga ilikuwa kiboko
 
Si ndio waliitwa vipaji maalum? Hope ni mainjinia na mafundi mitambo wakubwa kwa sasa waliohudhuria hapa. Vipi wapo wapi sasa hapa shitholeni? Au ilikua sera tu km zingine wakati tunawategemea wachina hadi kutuzibia viraka vya sufuria na mapipa ya kupikia mbege na kindi hadi leo!
 
Kuna huyo siku tumeshapasi nguo na kila kitu afu tunaenda event ya issue za ECA, HGE, EGM, nadhani wao wana ECA pia kwani walikuja ety headmistress katoa tamko day one before kama shule fulani itakuwepo hantoenda tena
Bwashee inaonekana umewadonoa sana
 
Wapo ni masaidia fundi mkuu
 
Hapo kiliwatoa wahandisi manguli enzi hizo

Sshv tuna vyuo vya wakata mauno tu bldyfcvkbinnnn

Ova
 
Inategemea mzee Mimi nimesoma Mosh Tech na Iyunga Tech ila kwa vifaa vya kalakana na kitambo Iyunga ilikuwa kiboko
Usibishe usichokijua mkuu.
Mtafute mtu yeyote anaesoma St Johns' University kitengo cha engineering umuulize mashine zilizopo kule karakana ya foundry, plumbing, welding etc.
Mimi nilisoma Surveying na tulikuwa tunafundishwa na walimu wabobevu toka japan, korea na china. Wale kama muda ungetosha wangetufanya kuwa ma engineer kabisa tukingali vijana chini ya miaka 18 make uwezo na vifaa vyote plus kazi kwa vitendo tulikuwa tunafundishwa na kujifunza kabisa.
 
Sasaivi ni chuo cha st john
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…