Ndugu, uwe na gari mpya, mzigo halali utasumbuliwa kama kawaida, usipotoa utabambikwa adhabu hadi biashara utaiona chungu.bila kutoa hizo buku buku madereva watakufa njaa, asilimia kubwa ya mizigo wanayobeba Ni ya dili wanafanya hivyo ili wasikaguliwe.
Wewe sio dereva wa Lori huwezi jua hizo harakati.
Sio mizigo ya dili kwani kazi ya traffic ni kukagua mizigo au magariBila kutoa hizo buku buku madereva watakufa njaa, asilimia kubwa ya mizigo wanayobeba Ni ya dili wanafanya hivyo ili wasikaguliwe.
Wewe sio dereva wa Lori huwezi jua hizo harakati.
kabla ya utraffic Kuna upolisi kwanza ambao unampa mamlaka ya kukagua chochote anachokitilia shakaSio mizigo ya dili kwani kazi ya traffic ni kukagua mizigo au magari
Hasira hasara! Umekaataa kutoa buku mbili,Sasa unaenda kutoa tembo wa tatu!! Sasa hapo imekula kwa nani!?Yaani wasumbufu kama zote.
Mimi baada ya kutowapa pesa wakaandika faini eti tairi mbovu hali zina mwezi.
Nimewaambia silipi mpaka niwaone wakubwa zake ofisini
utachagua wewe uwape ya viatu au ya kijenga taifa na lisit upewe.Hawa si ndiyo waliopata ile ruksa kubwa ya kukusanya zile za kupigia brashi?
Na bado!
Bora utowe za kubrashia viatu, maana Magari ya wabongo mengi ni Vimeo yakikaguliwa huwezi kosa Makosa kibao! Kwa hiyo Askari wetu wa barabarani wanahuruma sana,we unazani wakiamua kukomaa kuangalia mapungufu ya chombo chako Cha Moto nani atabaki road!?Hawa si ndiyo waliopata ile ruksa kubwa ya kukusanya zile za kupigia brashi?
Na bado!
Ndiyo Ukweli WenyeweHawa si ndiyo waliopata ile ruksa kubwa ya kukusanya zile za kupigia brashi?
Na bado!
Si kweli kua mizigo hiyo ni ya dili huwa ni mizigo halali kabisa.shida ni hao hao wazee maana hiyo ndio ishakua fursa yaoBila kutoa hizo buku buku madereva watakufa njaa, asilimia kubwa ya mizigo wanayobeba Ni ya dili wanafanya hivyo ili wasikaguliwe.
Wewe sio dereva wa Lori huwezi jua hizo harakati.
Rais wa Wanyonge alishawapa kichwa kwa kusema wazi kwamba trafiki kuomba hela ya ku brashi viatu si rushwa.Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa.
Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka pesa na dereva wangu alikuwa akiambatanisha lesseni na shs 2000.
Polisi baada ya kupokea hela walirudisha leseni tukaendelea na safari. Ilifika mahali nikawajia juu askari na kuwaambia kuwa usumbufu wao unachanguankuua biashara.
Askari mmoja mkurya ana mvi alinitishia ila sikutishika.
Baada ya kupakia mzigo tukapitia njia ile ile. Kuingia tu barabara ya goba tukasimamishwa, baada ya kilometa kama mbili tukawakuta tena askari wawili wa kike wana gari hurrier pembeni nao wakikusanya pesa nk.
Nachotaka kusema ni kuwa usumbufu wanaopata wafanyabishara jijini kutoka kwa askari hawa unachangia kuongeza ugumu wa maisha kwani usafirishaji bidhaa unakuwa juu sana kutokana rushwa ya polisi, na mzigo mwishoni utamuangukia mlaji wa mwisho.
Nimeambiwa kuwa mchezo huu ni rasmi ndani ya Jeshi la Polisi na kila Askari analazimika kupeleka mga kwa wakubwa zake hadi unamfikia mkubwa kabisa.
TAKUKURU wanajua, usalama wa taifa wanajua na Rais analijua. Je, inawezekana kwa kuwa traffic wamegeuka TRA hayo ndiyo malipo yao?