Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,566
- 2,944
Arusha ni jiji muhimu sana kiuchumi ukizingatia kuwa linaongoza kwa kupokea wageni hasa watalii.
Askari hawa wa usalama wanasababisha kero nyingi kama ifuatavyo;
1. Wamejazwa kila barabara ya kuingia na kutoka mjini na wanasimamisha kila gari, hata usipikuwa na kosa watakung'ang'ania wapewe posho kwa kisingizio (chakula cha boss).
2. Katikati ya mji hiace zinasumbua sana, nyingi haziingii vituo husika kama stand ndogo, Kilombero, na badala yake wanageuza kila mahali na kusababisha foleni na usumbufu mkubwa kwa watumia barabara.
3. Posta ya Meru pamoja na CMC ni usumbufu mkubwa kwa hiace za njiro, Morombo na kisongo, hapo katikati huwani askari kwani sio sehemu nzuri kwao kukusanya posho.
Nashauri uwapange askari wako wawajibike na sio kukusanya posho tu, uzembe wao unakwamisha shughuli za kiuchumi.
Mwisho, jina lako linatumika vibaya kuwa unawatuma posho.