Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

Pole gentleman,
ungemtuma akapumzike au akapate kalikizo kidogo kwao , then akirudi mnakaa na kukubaliana jinsi ya utaratibu wa kula hapo nyumbani, na unampa utaratibu mathalani wa kula chakula pamoja mfano chai, lunch au dinner..

Ni ngumu kukutana kwenye milo hiyo mitata but ile ambayo unaweza..

Hii ingesaidia kuondoa hiyo changamoto kidogo
 
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.

Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia

Nikaona niwafukuze tu

Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Mwanaume Gani unalialia kisa chakula? Hutufai kiumeni
 
Sasa kwa tabia hiyo ana u wife material gani hapo! Mbona fafa long time tu
 
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.

Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia

Nikaona niwafukuze tu

Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Wahi mirembe hospitali ya vichaa

Mpenzi ndio mtu Gani ? Malaya wewe

Ungesema mke sawa .Mtu sio.mke unaleta hoja za kijinga humu .Oa treatment za mke Kwa mume ni tofauti na treatment za kuhudumia malaya la kiume kama wewe linaloita Mwanamke mpenzi tu wakati halijamuoa kama wewe usyejielewa
Alichokufanyia sawasawa Tena kakuhurumia
 
🤣🤣Kwahiyo hadi muda huu wako nje siyo?
Alikuja aumlishe na mwanaye
We hujiulizi kwanini aliyemzalisha kmtelekeza na mtoto?
Umejidai tasaf,saidia Kaya maskin😂
Pole tafuta mwingine umlishe na mwanaye manake yaonekana ndo kipaji chako.
Huu uzi ufungwe tu 😀😀😀
 
Wahi mirembe hospitali ya vichaa

Mpenzi ndio mtu Gani ? Malaya wewe

Ungesema mke sawa .Mtu sio.mke unaleta hoja za kijinga humu .Oa treatment za mke Kwa mume ni tofauti na treatment za kuhudumia malaya la kiume kama wewe linaloita Mwanamke mpenzi tu wakati halijamuoa kama wewe usyejielewa
Alichokufanyia sawasawa Tena kakuhurumia
Naona unampiga na shotocan. Punguza ukali mkuu kah
 
hapana maana hivyo vipimbi ni vijanja sana tulikuatukiwinda huko kijijini nimevitafuna sana huko milimani...

nataka kujiridhisha kwamba tabia za pimbi ni za kuingilia hapa na kutokea pale, right? na kuchungulia chungulia inje kukiwa patulivu
Jipigie makofi 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom