Leo ni "Tell me day"

Hapa umeniacha kidogo DC- kichwa kipi unazungumzia?

MJ1, ngoja nikatafute msosi!! Naona umenikamata ugoni. Nimekukubali, mwosha huoshwa.

Nilimaanisha kichwa chenye macho, masikio, pua na mdomo ambacho ndiyo injini ya kufikiria. "PEOPLE WE DIFFER", kwa hiyo hivyo vichwa vingine tuviache kwanza!:rolleyes:
 
MJ1 nambie what u have been thinking of Kaizer recently?:):cool:

Kaizer, thread inakutata umwambie na siyo kumuuliza(tell her, not ask her day)! Au bado sina glucose ya kutosha! Ngoja nikatafute msosi!
 
ivoeeh? nilidhani ni sopulbrother ndo tumwambia nikaona imekaa kushoto!

basi tujisemeage tu kuanzia vichwa na vyama vya siasa!

Masaki chama utakipa jina gani? Nasikia kuna watu wanataka kurejesha TANU!
 
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti
 
Thank you ZD. Miss you too!
hapo kwa Dark City huenda yupo Sodoma na Gomora (labda ndo dar ilikofikia...eti mkuu?)
 
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti

Hii kweli ni tell me day. Sitamwambia mtu ulichonambia kwa sababu tumetakiwa tutunze siri.

Hata hivyo jina lisikupe taabu. Linalenga kuwafanya watoto wamwogope baba tu; ingawa baba mwenyewe ni poa sana kwa waliovuka hicho kiunzi. We endelea hivyo hivyo. Ngoja nikirudi labda nitakuwa na kitu cha kukwambia wewe au hao washikaji wengine. Naona J3 inakuwa nzuri. My boy wakati anajifunza kuongea alipenda sana kusema dadaye (badala ya baadaye)! Tumetoka mbali kweli. Dadaye!:rolleyes:
 
Nakudediketia Run this city wa JayZ& Rihhana.Msalimie junior Darkcity.
 
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti

Nice to know that....Thnaks, I am impressed! :)
 
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti

He! Haya bana!
 
ivoeeh? nilidhani ni sopulbrother ndo tumwambia nikaona imekaa kushoto!

basi tujisemeage tu kuanzia vichwa na vyama vya siasa!

Masaki chama utakipa jina gani? Nasikia kuna watu wanataka kurejesha TANU!

Kitaitwa I HAVE A DREAM! :)
 
Mj1 -nina usongo wa kukuona live,love you beibe.
Kaizer- i miss you
Dark city- Nakuheshimu,ila jina lako naliogopa,mji wa giza? duu!
Masaki- You are my gud friend
Soulbrother - Ubarikiwe na Bwana.
nani mwingine.....
Chrispin-...................
FL1-No Komenti

Nashukuru kwani Mungu kakuagiza unitumie baraka... aimen... nakubali baraka hizo.

Ahsante
 
Soulbrother leo naomba unitoe out twende zetu kubadilishana mawazo nje ya JF ...usijekusema ooh sijakwambia .sijui nini hapana
 
Duh, haya mambo ya "Tell me Day" yanaweza kuwapeleka baadhi ya Waungwana wa humu Madhabahuni. Wala msipate shida ikwa "Tell me Day" itawafikisha huko hapa JF yupo Rev. Kishoka, atawafungisha tu hizo ndoa ila mkikosa Wasimamizi Mimi na Mamsapu wangu tupo, tutawapiga tough!
 
Back
Top Bottom