Leo ni "Tell me day"

Soulbrother leo naomba unitoe out twende zetu kubadilishana mawazo nje ya JF ...usijekusema ooh sijakwambia .sijui nini hapana

Friday nitakutoa dia... nikupeleke pale kemsinsi...sky.... tukaangalie sanamu za simba mlangoni
 
Friday nitakutoa dia... nikupeleke pale kemsinsi...sky.... tukaangalie sanamu za simba mlangoni

Friday ...nimeweka kwa diary yangu...usijeanza ooh mama alinituma mihogo kijijini ooh my wife anakaujauzito nashindwa kutoka mhmhmh no
 
Back
Top Bottom