Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

Nakunywa lita mbili unusu ila kila niendako siwezi kuondoka bila kwenda chooni .

Basi marafiki na watu baki wameamua kuniita mzee kakojo maana wanajua kila tuendapo mimi na vyoo ni pete na kidole
 
Back
Top Bottom